CHUO KIKUU CHA DODOMA CHAZINDULIWA JANA
Jiwe La Msingi Lililofunguliwa Na Rais Jakaya Kikwete Katika Uzinduzi Wa Chuo Kikuu Cha DODOMA Jana
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Mohamed Gharib Bilal akitoa ufafanuzi wa jambo kwa Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Jakaya Mrisho Kikwete muda mfupi baada ya Rais Kikwete kuzindua rasmi Chuo Kikuu cha Dodoma Jana. Picha na mdau Clarence Nanyaro wa VPO
No comments:
Post a Comment